Zaburi 60:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Umewapa wakuogopao bendera, Ili itwekwe kwa ajili ya kweli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Uwape ishara wale wanaokuheshimu, wapate kuuepa mshale. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Uwape ishara wale wanaokuheshimu, wapate kuuepa mshale. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Uwape ishara wale wanaokuheshimu, wapate kuuepa mshale. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kwa wale wanaokucha wewe, umewainulia bendera, ili iweze kutwekwa dhidi ya upinde. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwa wale wanaokucha wewe, umewainulia bendera, ili iweze kutwekwa dhidi ya upinde. Tazama sura |