Zaburi 60:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Umeitetemesha nchi na kuipasua, Upaponye palipobomoka, maana inatikisika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Umeitetemesha nchi na kuipasua; uzibe nyufa zake kwani inabomoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Umeitetemesha nchi na kuipasua; uzibe nyufa zake kwani inabomoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Umeitetemesha nchi na kuipasua; uzibe nyufa zake kwani inabomoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Umetetemesha nchi na kuipasua; uiponye mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Umetetemesha nchi na kuipasua; uiponye mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka. Tazama sura |