Zaburi 60:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Utuletee msaada juu ya mtesi, Maana wokovu wa binadamu haufai kitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Utupatie msaada dhidi ya maadui zetu, maana msaada wa binadamu haufai kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Utupatie msaada dhidi ya maadui zetu, maana msaada wa binadamu haufai kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Utupatie msaada dhidi ya maadui zetu, maana msaada wa binadamu haufai kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Tuletee msaada dhidi ya adui, kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Tuletee msaada dhidi ya adui, kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu. Tazama sura |