Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 6:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 BWANA ameisikia dua yangu; BWANA atayatakabali maombi yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mwenyezi-Mungu amesikia ombi langu; Mwenyezi-Mungu amekubali sala yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mwenyezi-Mungu amesikia ombi langu; Mwenyezi-Mungu amekubali sala yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mwenyezi-Mungu amesikia ombi langu; Mwenyezi-Mungu amekubali sala yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mwenyezi Mungu amesikia kilio changu kwa huruma, Mwenyezi Mungu amekubali sala yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 bwana amesikia kilio changu kwa huruma, bwana amekubali sala yangu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 6:9
15 Marejeleo ya Msalaba  

kwa kuwa moyo wako ulikuwa mwororo, nawe umejinyenyekeza mbele ya Mungu, uliposikia maneno yake juu ya mahali hapa, na juu ya wakazi wake, ukajinyenyekeza mbele zangu, na kuyararua mavazi yako, na kulia mbele zangu; mimi nami nimekusikia, asema BWANA.


Katika shida yangu nilimwita BWANA; BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi.


Katika shida yangu nilimlilia BWANA Naye akaniitikia.


Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.


Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.


Nami nilisema kwa pupa yangu, Nimekatiliwa mbali na macho yako; Lakini ulisikia sauti ya kilio changu Wakati nilipokulilia.


Nenda ukamwambie Hezekia, BWANA, Mungu wa Daudi, baba yako, asema hivi, Mimi nimeyasikia maombi yako, nimeyaona machozi yako; tazama, nitaziongeza siku zako, kiasi cha miaka kumi na mitano.


Ukaisikia sauti yangu; usifiche sikio lako Ili usisikie pumzi yangu, kwa kilio changu.


Akasema, Nilimlilia BWANA kwa sababu ya shida yangu, Naye akaniitikia; Katika tumbo la kuzimu niliomba, Nawe ukasikia sauti yangu.


Roho yangu ilipozimia ndani yangu, Nilimkumbuka BWANA; Maombi yangu yakakufikia, Katika hekalu lako takatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo