Zaburi 59:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Na Wewe, BWANA, utawacheka, Utawadhihaki mataifa yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Lakini wewe, Mwenyezi Mungu, uwacheke; unayadharau mataifa hayo yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Lakini wewe, bwana, uwacheke; unayadharau mataifa hayo yote. Tazama sura |