Zaburi 59:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Wakati wa jioni hurudi, wakilia kama mbwa, Na kuzungukazunguka mjini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hurudi wakati wa jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hurudi wakati wa jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji. Tazama sura |