Zaburi 59:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Ee nguvu zangu, nitakuimbia sifa, Maana Ewe Mungu ndiwe ngome yangu, Mungu wa fadhili zangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Ewe uliye nguvu yangu, nitakuimbia sifa; ee Mungu, wewe u ngome yangu; Mungu mwenye kunifadhili! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Ewe uliye nguvu yangu, nitakuimbia sifa; ee Mungu, wewe u ngome yangu; Mungu mwenye kunifadhili! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Ewe uliye nguvu yangu, nitakuimbia sifa; ee Mungu, wewe u ngome yangu; Mungu mwenye kunifadhili! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa. Wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, Mungu unayenipenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa. Wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, Mungu unipendaye. Tazama sura |