Zaburi 59:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Wakati wa jioni hurudi, wakilia kama mbwa, Na kuzungukazunguka mjini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Hurudi jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Hurudi jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji. Tazama sura |