Zaburi 59:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Mungu wa fadhili zangu atanitangulia, Mungu atanijalia kutazama kwa ushindi juu ya adui zangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mungu wangu utanijia na fadhili zako, utaniwezesha kuwaona maadui zangu wameshindwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mungu wangu utanijia na fadhili zako, utaniwezesha kuwaona maadui zangu wameshindwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mungu wangu utanijia na fadhili zako, utaniwezesha kuwaona maadui zangu wameshindwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mungu wangu unayenipenda. Mungu atanitangulia, naye atanifanya niwachekelee wale wanaonisingizia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mungu wangu unipendaye. Mungu atanitangulia, naye atanifanya niwachekelee wale wanaonisingizia. Tazama sura |