Zaburi 59:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ee Mungu wangu, uniponye na adui zangu, Uniinue juu yao wanaoshindana nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu. Tazama sura |