Zaburi 58:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kabla hawajatambua, wangolewe kama miiba, michongoma au magugu. Kwa hasira ya Mungu, wapeperushwe mbali, wakiwa bado hai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kabla hawajatambua, wangolewe kama miiba, michongoma au magugu. Kwa hasira ya Mungu, wapeperushwe mbali, wakiwa bado hai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kabla hawajatambua, wang'olewe kama miiba, michongoma au magugu. Kwa hasira ya Mungu, wapeperushwe mbali, wakiwa bado hai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, zikiwa mbichi au kavu, waovu watakuwa wamefagiliwa mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, zikiwa mbichi au kavu, waovu watakuwa wamefagiliwa mbali. Tazama sura |