Zaburi 58:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ni kweli, enyi wakuu, mnanena haki? Enyi wanadamu, mnahukumu kwa adili? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? Tazama sura |