Zaburi 57:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa kati ya mataifa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ee Bwana, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ee Bwana, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ee Bwana, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Nitakusifu wewe, Ee Bwana, kati ya mataifa; nitaimba habari zako, kati ya jamaa za watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Nitakusifu wewe, Ee bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu. Tazama sura |