Zaburi 57:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Amka, ee moyo wangu. Amka, kinanda na kinubi, Nitaamka alfajiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Amka, ee nafsi yangu! Amkeni, enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Amka, ee nafsi yangu! Amkeni, enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Amka, ee nafsi yangu! Amkeni, enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Amka, nafsi yangu! Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Amka, nafsi yangu! Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko. Tazama sura |