Zaburi 57:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Atanitumia msaada toka mbinguni na kuniokoa, Atawaaibisha wale wanaotaka kunishambulia. Mungu atazituma Fadhili zake na kweli yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Atanipelekea msaada toka mbinguni na kuniokoa; atawaaibisha hao wanaonishambulia. Mungu atanionesha fadhili zake na uaminifu wake! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Atanipelekea msaada toka mbinguni na kuniokoa; atawaaibisha hao wanaonishambulia. Mungu atanionesha fadhili zake na uaminifu wake! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Atanipelekea msaada toka mbinguni na kuniokoa; atawaaibisha hao wanaonishambulia. Mungu atanionesha fadhili zake na uaminifu wake! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hutumana msaada kutoka mbinguni na kuniokoa, akiwakemea wale wanaonifuatilia vikali; Mungu huutuma upendo wake na uaminifu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hutumana kutoka mbinguni na kuniokoa, akiwakemea wale wanaonifuatilia vikali; Mungu huutuma upendo wake na uaminifu wake. Tazama sura |