Zaburi 56:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Hukutanika, hujificha, huziangalia nyayo zangu, Kwa kuwa waliniotea ili waniue. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wanakutana kupanga na kunivizia; wanachunguza yote nifanyayo; wananiotea kwa shabaha ya kuniua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wanakutana kupanga na kunivizia; wanachunguza yote nifanyayo; wananiotea kwa shabaha ya kuniua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wanakutana kupanga na kunivizia; wanachunguza yote nifanyayo; wananiotea kwa shabaha ya kuniua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wananifanyia hila, wanajificha, wanatazama hatua zangu, wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wananifanyia hila, wanajificha, wanatazama hatua zangu, wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu. Tazama sura |