Zaburi 56:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mchana kutwa wanapotosha maneno yangu, Mawazo yao yote ni juu yangu kunitakia mabaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mchana kutwa wanapotosha kisa changu; mawazo yao yote ni ya kunidhuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mchana kutwa wanapotosha kisa changu; mawazo yao yote ni ya kunidhuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mchana kutwa wanapotosha kisa changu; mawazo yao yote ni ya kunidhuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, siku zote wanapanga njama za kunidhuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, siku zote wanapanga shauri la kunidhuru. Tazama sura |