Zaburi 55:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Ningekimbilia mahali pa usalama, mbali na upepo mkali na dhoruba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Ningekimbilia mahali pa usalama, mbali na upepo mkali na dhoruba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Ningekimbilia mahali pa usalama, mbali na upepo mkali na dhoruba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 ningeharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 ningaliharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.” Tazama sura |