Zaburi 55:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Kwa maana si adui aliyenitukana; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kama adui yangu angenitukana, ningeweza kustahimili hayo; kama mpinzani wangu angenidharau, ningeweza kujificha mbali naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kama adui yangu angenitukana, ningeweza kustahimili hayo; kama mpinzani wangu angenidharau, ningeweza kujificha mbali naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kama adui yangu angenitukana, ningeweza kustahimili hayo; kama mpinzani wangu angenidharau, ningeweza kujificha mbali naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione. Tazama sura |