Zaburi 55:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Uharibifu umeenea pote mjini, uhasama na udhalimu kila mahali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Uharibifu umeenea pote mjini, uhasama na udhalimu kila mahali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Uharibifu umeenea pote mjini, uhasama na udhalimu kila mahali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake. Tazama sura |