Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 54:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu; Ee BWANA, nitalishukuru jina lako, maana ni jema.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Nitakutolea tambiko kwa moyo mkunjufu; nitakushukuru kwa kuwa ni vema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Nitakutolea tambiko kwa moyo mkunjufu; nitakushukuru kwa kuwa ni vema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Nitakutolea tambiko kwa moyo mkunjufu; nitakushukuru kwa kuwa ni vema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee Mwenyezi Mungu, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee bwana, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili




Zaburi 54:6
14 Marejeleo ya Msalaba  

Na wamtolee dhabihu za kushukuru, Na kuyasimulia matendo yake kwa kuimba.


Nitakutolea dhabihu ya kushukuru; Na kulitangaza jina la BWANA;


BWANA yuko upande wangu, msaidizi wangu, Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wakiwa wameshindwa.


Hakika wenye haki watalishukuru jina lako, Wenye adili watakaa mahali ulipo Wewe.


Haleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu sifa, Maana ni mwenye fadhili, na anastahili kuimbiwa sifa.


Ee BWANA, utukuzwe kwa nguvu zako, Nasi tutaimba na kuuhimidi uwezo wako.


Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru; Mtimizie Aliye Juu nadhiri zako.


Nitakushukuru milele kwa maana umetenda; Nitalingojea jina lako kwa kuwa ni jema; Mbele ya wacha Mungu wako.


Nitamshukuru BWANA kwa kadiri ya haki yake; Nitaliimbia jina la BWANA aliye juu.


Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako sifa, Ee Uliye Juu.


Maana Bwana MUNGU atanisaidia; kwa sababu hiyo sikutahayari, kwa sababu hiyo nimekaza uso wangu kama jiwe, nami najua ya kuwa sitaona haya.


Tazama, Bwana MUNGU atanisaidia; ni nani atakayenihukumu kuwa mwenye hatia? Tazama hao wote watachakaa kama vazi; nondo atawala.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo