Zaburi 54:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Atawarudishia adui zangu ubaya wao; Uwaangamize kwa uaminifu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Yeye atawaadhibu maadui zangu kwa uovu wao wenyewe; kwa uaminifu wako, ee Mungu, uwaangamize. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Yeye atawaadhibu maadui zangu kwa uovu wao wenyewe; kwa uaminifu wako, ee Mungu, uwaangamize. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Yeye atawaadhibu maadui zangu kwa uovu wao wenyewe; kwa uaminifu wako, ee Mungu, uwaangamize. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize. Tazama sura |