Zaburi 52:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung'oa katika nchi ya walio hai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kwa hivyo Mungu atakuangamiza milele, atakunyakua na kukuondoa nyumbani mwako; atakungoa katika nchi ya walio hai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kwa hivyo Mungu atakuangamiza milele, atakunyakua na kukuondoa nyumbani mwako; atakungoa katika nchi ya walio hai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kwa hivyo Mungu atakuangamiza milele, atakunyakua na kukuondoa nyumbani mwako; atakung'oa katika nchi ya walio hai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hakika Mungu atakushusha chini kwa maangamizi ya milele: atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu kutoka hema lako, atakung’oa kutoka nchi ya walio hai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Hakika Mungu atakushusha chini kwa maangamizi ya milele: atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu kutoka hema yako, atakung’oa kutoka nchi ya walio hai. Tazama sura |