Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 51:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu iko mbele yangu daima.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Nakiri kabisa makosa yangu, daima naiona waziwazi dhambi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Nakiri kabisa makosa yangu, daima naiona waziwazi dhambi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Nakiri kabisa makosa yangu, daima naiona waziwazi dhambi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Kwa maana najua makosa yangu, na dhambi yangu iko mbele yangu daima.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Kwa maana ninajua makosa yangu, na dhambi yangu iko mbele yangu daima.

Tazama sura Nakili




Zaburi 51:3
12 Marejeleo ya Msalaba  

Waliokuwa wa wazao wa Israeli wakajitenga na wageni wote, wakasimama, wakaziungama dhambi zao, na maovu ya baba zao.


Yeye huimba mbele ya watu, na kusema, Mimi nimefanya dhambi, na kuyapotosha hayo yaliyoelekea, Wala sikulipizwa jambo hilo;


Ndipo nikakuungamia dhambi yangu, Wala sikuuficha upotovu wangu. Nilisema, Nitayakiri maasi yangu kwa BWANA, Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.


Kwa maana nitaungama uovu wangu, Na kusikitika kwa dhambi zangu.


Kwa maana mabaya yasiyohesabika Yamenizunguka mimi. Maovu yangu yamenipata, Wala siwezi kuona. Yamezidi kuliko nywele za kichwa changu, Nami nimevunjika moyo.


Adui zangu wananitaja kwa maneno mabaya, Atakufa lini, jina lake lipotee?


Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.


Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.


Maana makosa yetu yamezidi kuwa mengi mbele zako, na dhambi zetu zashuhudia juu yetu; maana makosa yetu tunayo pamoja nasi, na maovu yetu tumeyajua;


Na tulale kwa aibu yetu, haya yetu na itufunike; kwa maana tumemwasi BWANA, Mungu wetu, sisi na baba zetu, tangu ujana wetu hata leo; wala hatukuitii sauti ya BWANA, Mungu wetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo