Zaburi 50:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Sitatwaa ng'ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kwa kweli sina haja na fahali wa zizi lako, wala beberu wa mifugo yako; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kwa kweli sina haja na fahali wa zizi lako, wala beberu wa mifugo yako; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kwa kweli sina haja na fahali wa zizi lako, wala beberu wa mifugo yako; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Sina haja na fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Sina haja ya fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako. Tazama sura |