Zaburi 50:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Yafahamuni hayo, Ninyi mnaomsahau Mungu, Nisije nikawararueni, Asipatikane wa kuwaokoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 “Fikirini vizuri jambo hili, enyi msionijali, la sivyo nitawaangamizeni, wala hapatakuwa na wa kuwaokoeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 “Fikirini vizuri jambo hili, enyi msionijali, la sivyo nitawaangamizeni, wala hapatakuwa na wa kuwaokoeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 “Fikirini vizuri jambo hili, enyi msionijali, la sivyo nitawaangamizeni, wala hapatakuwa na wa kuwaokoeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 “Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, ama sivyo nitawararua vipande vipande, wala hapatakuwa na yeyote wa kuwaokoa: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 “Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, ama sivyo nitawararua vipande vipande, wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa: Tazama sura |