Zaburi 50:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Maana kila mnyama-pori ni wangu, Na mifugo juu ya angani elfu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu. Tazama sura |