Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 5:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Mwenyezi Mungu; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee bwana; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.

Tazama sura Nakili




Zaburi 5:3
15 Marejeleo ya Msalaba  

Hata wakafanya kilio cha maskini kumfikia, Naye akasikia kilio cha hao wateswao.


Naamka kabla ya mapambazuko na kukuomba msaada, Naweka tumaini langu katika maneno yako.


Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.


Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.


Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele.


Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu Na wakati wa usiku lakini sipati raha.


Kwa nguvu zako tutawaangusha watesi wetu; Kwa jina lako tutawakanyaga watupingao.


Jioni, asubuhi, na adhuhuri nitalalama na kuugua, Naye ataisikia sauti yangu.


Ee BWANA, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.


Lakini Mungu ni mfalme wangu tokea zamani, Afanyaye mambo ya wokovu katikati ya nchi.


Heri wakaao nyumbani mwako, Wanakuhimidi daima.


Lakini mimi nimekulilia Wewe, BWANA, Na asubuhi maombi yangu yatakuwasilia.


Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; Maana hukumu zako zikiwapo duniani, Watu wakaao duniani hujifunza haki.


Ukaisikia sauti yangu; usifiche sikio lako Ili usisikie pumzi yangu, kwa kilio changu.


Hata alfajiri na mapema sana akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo