Zaburi 5:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Uisikie sauti ya kilio changu, Ee Mfalme wangu na Mungu wangu, Kwa maana Wewe ndiwe nikuombaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba. Tazama sura |