Zaburi 49:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Sikieni haya, enyi mataifa yote; Sikilizeni, ninyi nyote mnaokaa duniani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Sikieni jambo hili enyi watu wote! Tegeni sikio enyi wakazi wote wa dunia; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Sikieni jambo hili enyi watu wote! Tegeni sikio enyi wakazi wote wa dunia; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Sikieni jambo hili enyi watu wote! Tegeni sikio enyi wakazi wote wa dunia; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mnaoishi dunia hii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. Tazama sura |