Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 48:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Papo hapo tetemeko liliwashika, Uchungu kama wa mwanamke azaaye.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Hofu kuu iliwashika, wakasikia uchungu kama mama anayejifungua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Hofu kuu iliwashika, wakasikia uchungu kama mama anayejifungua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Hofu kuu iliwashika, wakasikia uchungu kama mama anayejifungua,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye uchungu wa kuzaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa.

Tazama sura Nakili




Zaburi 48:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo wakaondoka, wakakimbia kungali giza bado, wakaziacha hema zao, na farasi wao, na punda zao, na kambi yao vile vile kama ilivyokuwa, wakakimbia wapate kujiponya nafsi zao.


Kwa sababu hiyo viuno vyangu vimejaa maumivu, uchungu umenishika, kama uchungu wa mwanamke azaaye; ninaumwa sana, nisiweze kusikia; nimefadhaishwa wa hofu, nisiweze kuona.


Ndipo uso wa mfalme ukambadilika; fikira zake zikamfadhaisha; viungo vya viuno vyake vikalegea; magoti yake yakagongana.


Uchungu wa mwanamke mwenye mimba utampata; yeye ni mwana asiye na akili; maana wakati umewadia, ambao haimpasi kukawia mahali wapenyapo watoto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo