Zaburi 48:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Mungu katika majumba yake Amejijulisha kuwa ngome. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mungu yuko katika ngome zake; amejionesha mwenyewe kuwa ngome yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake. Tazama sura |