Zaburi 48:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Bwana ndiye aliye mkuu, Na mwenye kusifiwa sana. Katika mji wa Mungu wetu, Katika mlima wake mtakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu. Tazama sura |