Zaburi 47:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, Imbeni kwa zaburi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwimbieni Mungu sifa kwa tenzi; maana yeye ni mfalme wa ulimwengu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwimbieni Mungu sifa kwa tenzi; maana yeye ni mfalme wa ulimwengu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwimbieni Mungu sifa kwa tenzi; maana yeye ni mfalme wa ulimwengu wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote, mwimbieni zaburi za sifa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote, mwimbieni zaburi za sifa. Tazama sura |