Zaburi 47:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ametuchagulia urithi wetu, Fahari ya Yakobo ampendaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Ametuchagulia nchi hii iwe urithi wetu, ambayo ni fahari ya Yakobo anayempenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Ametuchagulia nchi hii iwe urithi wetu, ambayo ni fahari ya Yakobo anayempenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Ametuchagulia nchi hii iwe urithi wetu, ambayo ni fahari ya Yakobo anayempenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Alituchagulia urithi wetu, fahari ya Yakobo, aliyempenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Alituchagulia urithi wetu, fahari ya Yakobo, aliyempenda. Tazama sura |