Zaburi 47:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Amewatiisha watu wa nchi chini yetu, Na mataifa chini ya miguu yetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Ametuwezesha kuwashinda watu wa mataifa, ameyaweka mataifa chini ya mamlaka yetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Ametuwezesha kuwashinda watu wa mataifa, ameyaweka mataifa chini ya mamlaka yetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Ametuwezesha kuwashinda watu wa mataifa, ameyaweka mataifa chini ya mamlaka yetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ametiisha mataifa chini yetu, watu wengi chini ya miguu yetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ametiisha mataifa chini yetu watu wengi chini ya miguu yetu. Tazama sura |