Zaburi 47:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Kwa kuwa BWANA Aliye Juu, mwenye kuogofya, Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, anatisha. Yeye ni Mfalme mkuu wa ulimwengu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, anatisha. Yeye ni Mfalme mkuu wa ulimwengu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu, anatisha. Yeye ni Mfalme mkuu wa ulimwengu wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Jinsi gani alivyo wa kutisha, Mwenyezi Mungu Aliye Juu Sana, Mfalme mkuu juu ya dunia yote! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Jinsi gani alivyo wa kutisha, bwana Aliye Juu Sana, Mfalme mkuu juu ya dunia yote! Tazama sura |