Zaburi 45:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Jina lako nitalifanya kuwa kumbukumbu Katika vizazi vyote. Kwa hiyo mataifa watakushukuru Milele na milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Nitalifanya jina lako litukuzwe katika vizazi vyote, nayo mataifa yatakusifu daima na milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Nitalifanya jina lako litukuzwe katika vizazi vyote, nayo mataifa yatakusifu daima na milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Nitalifanya jina lako litukuzwe katika vizazi vyote, nayo mataifa yatakusifu daima na milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nitadumisha kumbukumbu lako katika vizazi vyote, kwa hiyo mataifa watakusifu milele na milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nitadumisha kumbukumbu lako katika vizazi vyote, kwa hiyo mataifa watakusifu milele na milele. Tazama sura |