Zaburi 44:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Kwa nguvu zako tutawaangusha watesi wetu; Kwa jina lako tutawakanyaga watupingao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kwa nguvu yako twawashinda maadui zetu, kwa jina lako twawakanyaga wanaotushambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kwa nguvu yako twawashinda maadui zetu, kwa jina lako twawakanyaga wanaotushambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kwa nguvu yako twawashinda maadui zetu, kwa jina lako twawakanyaga wanaotushambulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu; kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu; kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu. Tazama sura |