Zaburi 43:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Nitumie nuru yako na kweli yako ziniongoze, Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu na hata katika maskani yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Upeleke mwanga na ukweli wako viniongoze, vinipeleke kwenye mlima wako mtakatifu, kwenye makao yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Upeleke mwanga na ukweli wako viniongoze, vinipeleke kwenye mlima wako mtakatifu, kwenye makao yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Upeleke mwanga na ukweli wako viniongoze, vinipeleke kwenye mlima wako mtakatifu, kwenye makao yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Tuma hima nuru yako na kweli yako viniongoze; na vinilete hadi mlima wako mtakatifu, mahali unapoishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Tuma hima nuru yako na kweli yako na viniongoze; vinilete mpaka mlima wako mtakatifu, mpaka mahali unapoishi. Tazama sura |