Zaburi 41:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Wanafikiri pigo liualo limemshika, Akalala asiweze kusimama tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Husema: “Maradhi haya yatamuua; hatatoka tena kitandani mwake!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Husema: “Maradhi haya yatamuua; hatatoka tena kitandani mwake!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Husema: “Maradhi haya yatamuua; hatatoka tena kitandani mwake!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Ugonjwa mbaya sana umempata, kamwe hatainuka tena kitandani mwake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Ugonjwa mbaya sana umempata, kamwe hatainuka tena kitandani mwake.” Tazama sura |