Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 41:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Wote wanaonichukia wananong'onezana juu yangu, Wananiwazia yaliyo mabaya zaidi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wote wanichukiao hunongonezana juu yangu; wananiwazia mabaya ya kunidhuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wote wanichukiao hunongonezana juu yangu; wananiwazia mabaya ya kunidhuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wote wanichukiao hunong'onezana juu yangu; wananiwazia mabaya ya kunidhuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Adui zangu wote hunong’onezana dhidi yangu, hao huniwazia mabaya sana, wakisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Adui zangu wote hunong’onezana dhidi yangu, hao huniwazia mabaya sana, wakisema,

Tazama sura Nakili




Zaburi 41:7
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana nimesikia wengi wakinong'onezana; Hofu katika pande zote. Waliposhauriana juu yangu, Walipanga kunitoa uhai wangu.


Mtu mshupavu huleta fitina; Na mchongezi huwafarakanisha rafiki.


Moto hufa kwa kukosa kuni; Na bila mchongezi fitina hukoma.


Ndipo Mafarisayo wakaenda zao, wakafanya shauri, jinsi ya kumtega kwa maneno.


Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,


Maana nachelea, nisije nikawakuta si kama vile nitakavyo kuwakuta, nikaonekana kwenu si kama vile mtakavyo; nisije nikakuta labda fitina na wivu, na ghadhabu, na ugomvi, na masingizio, na manong'onezo, na majivuno, na ghasia;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo