Zaburi 41:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nami nilisema, BWANA, unifadhili, Uniponye roho yangu maana nimekutenda dhambi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nami nilisema: “Unifadhili, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie maana nimekukosea wewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nami nilisema: “Unifadhili, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie maana nimekukosea wewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nami nilisema: “Unifadhili, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie maana nimekukosea wewe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nilisema, “Ee Mwenyezi Mungu nihurumie, niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nilisema, “Ee bwana nihurumie, niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.” Tazama sura |