Zaburi 40:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Waaibike na wafedheheke, Wote wanaotaka kuniua. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wanaonuia kuniangamiza, na waaibike na kufedheheka! Hao wanaotamani niumie, na warudi nyuma na kuaibika! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wanaonuia kuniangamiza, na waaibike na kufedheheka! Hao wanaotamani niumie, na warudi nyuma na kuaibika! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wanaonuia kuniangamiza, na waaibike na kufedheheka! Hao wanaotamani niumie, na warudi nyuma na kuaibika! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wote wanaotafuta kuniua, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, wafukuzwe mbali kwa aibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu. Tazama sura |