Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 40:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Nilimngoja BWANA kwa subira, Akaniinamia na kusikia kilio changu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Nilimngoja Mwenyezi Mungu kwa saburi, naye akanijia na kusikia kilio changu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Nilimngoja bwana kwa saburi, naye akaniinamia, akasikia kilio changu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 40:1
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana amenitegea sikio lake, Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.


Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.


Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.


Utulie mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa subira; Usihangaike juu ya afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu apangaye maovu.


Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na mji ule ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei maombi yetu kwa sababu ya haki yetu, lakini kwa sababu ya rehema zako nyingi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo