Zaburi 4:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Wengi husema, Nani atakayetuonesha mema? BWANA, utuinulie nuru ya uso wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wengi husema: “Laiti tungepata tena fanaka! Utuangalie kwa wema, ee Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonesha jema lolote?” Ee Mwenyezi Mungu, tuangazie nuru ya uso wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonyesha jema lolote?” Ee bwana, tuangazie nuru ya uso wako. Tazama sura |