Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 39:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Nimenyamaza, sifumbui kinywa changu, Maana Wewe ndiwe uliyeyafanya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Niko kama bubu, sisemi kitu, kwani wewe ndiwe uliyetenda hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Niko kama bubu, sisemi kitu, kwani wewe ndiwe uliyetenda hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Niko kama bubu, sisemi kitu, kwani wewe ndiwe uliyetenda hayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Nilinyamaza, sikufumbua kinywa changu, kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Nilinyamaza kimya, sikufumbua kinywa changu, kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili.

Tazama sura Nakili




Zaburi 39:9
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme akasema, Nina nini na ninyi, enyi wana wa Seruya? Kwa sababu yeye analaani, na kwa sababu BWANA amemwambia, Mlaani Daudi, basi, ni nani atakayesema, Mbona umetenda haya?


akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.


Lakini yeye akamwambia, Wewe wanena kama mmoja wa hao wanawake wapumbavu anenavyo. Je! Tupate mema mkononi mwa Mungu, nasi tusipate na mabaya? Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi kwa midomo yake.


Lakini kama kiziwi sisikii, Nami ni kama bubu asiyefumbua kinywa chake.


na watu wote wanaokaa duniani wamehesabiwa kuwa si kitu, naye hufanya kama atakavyo, katika jeshi la mbinguni, na katika hao wanaokaa duniani; wala hapana awezaye kuuzuia mkono wake, wala kumwuliza, Unafanya nini wewe?


Ndipo Musa akamwambia Haruni, Jambo hili ni hilo BWANA alilolinena, akisema, Nitatakaswa mimi katika hao wanikaribiao, nami nitatukuzwa mbele ya watu hao wote. Haruni akanyamaza kimya.


Basi Samweli akamwambia kila neno, asimfiche lolote. Naye akasema, Ndiye BWANA; na afanye alionalo kuwa ni jema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo