Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Zaburi 39:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 BWANA, unijulishe mwisho wangu, Na idadi ya siku zangu ni ngapi; Nijue jinsi maisha yangu yalivyo mafupi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 “Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 “Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 “Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 “Ee Mwenyezi Mungu, nijulishe mwisho wa maisha yangu na hesabu ya siku zangu; nijalie kujua jinsi maisha yangu yanavyopita upesi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 “Ee bwana, nijulishe mwisho wa maisha yangu na hesabu ya siku zangu; nijalie kujua jinsi maisha yangu yanavyopita upesi.

Tazama sura Nakili

Zaburi 39:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Laiti ungenificha kuzimuni, Ukanilinda kwa siri, hata ghadhabu zako zitakapopita, Na kuniandikia muda ulioamriwa, na kunikumbuka!

Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.

Siku za mtumishi wako ni ngapi, Lini utakapowahukumu wale wanaonifuatia?

Basi, utufundishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo