Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Zaburi 39:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Moyo wangu ukawa moto ndani yangu, Na katika kuwaza kwangu moto ukawaka; Nilisema kwa ulimi wangu,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 mahangaiko yangu yakaniunguza moyoni. Kadiri nilivyowaza ndivyo nilivyotaabika, kisha maneno haya yakanitoka:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 mahangaiko yangu yakaniunguza moyoni. Kadiri nilivyowaza ndivyo nilivyotaabika, kisha maneno haya yakanitoka:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 mahangaiko yangu yakaniunguza moyoni. Kadiri nilivyowaza ndivyo nilivyotaabika, kisha maneno haya yakanitoka:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Moyo wangu ulipata moto ndani yangu, nilipotafakari, moto uliwaka, ndipo nikasema kwa ulimi wangu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Moyo wangu ulipata moto ndani yangu, nilipotafakari, moto uliwaka, ndipo nikasema kwa ulimi wangu:

Tazama sura Nakili

Zaburi 39:3
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nikisema, Sitamtaja, wala sitasema tena kwa jina lake; basi, ndipo moyoni mwangu kumekuwamo kama moto uwakao, uliofungwa ndani ya mifupa yangu, nami nimechoka kwa kustahimili, wala siwezi kujizuia.

Basi roho ikaniinua, ikanichukua mahali pengine; nami nikaenda kwa uchungu, na hasira kali rohoni mwangu, na mkono wa BWANA ulikuwa juu yangu kwa nguvu.

Wakaambiana, Je! Mioyo yetu haikuwaka ndani yetu hapo alipokuwa akisema nasi njiani, na kutufunulia Maandiko?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo