Zaburi 39:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Unapomwadhibu mtu dhambi zake kwa kumkemea, unaharibu kama nondo kile akipendacho. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Unapomwadhibu mtu dhambi zake kwa kumkemea, unaharibu kama nondo kile akipendacho. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Unapomwadhibu mtu dhambi zake kwa kumkemea, unaharibu kama nondo kile akipendacho. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Unakemea na kuadhibu wanadamu kwa ajili ya dhambi zao; unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: kila mwanadamu ni kama pumzi tu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Unakemea na kuadhibu wanadamu kwa ajili ya dhambi zao; unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: kila mwanadamu ni kama pumzi tu. Tazama sura |